Song of Solomon 5:7

7 aWalinzi walinikuta
walipokuwa wakifanya zamu za ulinzi mjini.
Walinipiga, wakanijeruhi,
wakaninyangʼanya joho langu,
hao walinzi wa kuta!
Copyright information for SwhNEN